Miliki Anuani ya kidigitali ama anauni ya kawaida, kwa kujisajili Mwenyewe

Usajili Binafsi
Kuhusu SmartPosta

SmartPosta ni jukwaa ambalo linalenga kubadilisha mfumo wa Posta kutoka kuwa wa analojia na kuwa wa kidijitali. SmartPosta inafanya kazi kidijitali kupitia simu za mkononi (kama sanduku la kidijitali) na hivyo kurahisisha namna huduma zinavyotolewa. Kupita SmartPosta kila mmiliki wa simu janja anauwezo wa kufurahia huduma zote za Posta. SmartPosta hutuma jumbe za kuwataarifu watumiaji juu ya mwenendo wa mizigo au barua zao kwa wakati.

Dira na Dhamira yetu;

Kumfikia kila mtu bila kujali eneo la kijiografia

Kuongeza wigo wa soko la huduma za Posta

© 2021. All Rights Reserved. SmartPosta :Privacy Policy